Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Mhariri mkuu wa tovuti ya habari Middle East Eye katika uchambuzi wake wa hivi karibuni amesisitiza kuwa Iran haiwezi kulinganishwa na Venezuela, na kwamba “ina kadi nyingi za kucheza ambazo ni za uharibifu mkubwa.”
Kwa mujibu wa ripoti hiyo, Iran pamoja na kuwa na uwezo wa kulenga vituo vya Marekani katika nchi zote za Ghuba, pia ina uwezo wa kuifunga Mlango wa Hormuz (Strait of Hormuz) na hata kufanya mashambulizi makali zaidi ya makombora dhidi ya Israel.
Your Comment